Picha Mbambali za Matukio ya Mkutano wa #COP20 Uliofanyika Lima, Peru

Asasi za Kiafrika zikishinikiza Mataifa mbalimbali kuunga mkono msimamo wa Africa kwenye suala la INDC

Eng Landslaus Kyaruzi na Tajiel Urioh, wote kutoka Tanzania wakiwa nje ya ukumbi kwa mazungumzo

Hili ndilo lango la kuingia kwenye eneo la mkutano, Pichani ni Tajiel Urioh kutoka ForumCC

Mkutano ulifanyika katika eneo linaloitwa SAN BORJA katika jiji la Lima

Asubuhi baadhi ya Watanzania wakiingia kwenye eneo la mkutano

Tajiel Urioh akiwa katika moja ya bustani za mji wa San Borja ambazo zimezunguka eneo la mkutano

Hivi ndiyo Peru inavyoandikwa, Ni utambulisho wa utamaduni wao


Tajiel Urioh na Bw Richard Muyungi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais
Fazal Issa na Bw Richard Muyungi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais


Banda la Oxfam wakiwa wanaonyesha baadhi ya mazao

Fazal Issa akiwa na Rais wa COP20 Mh Manuel Pulgar Vidal