Asasi za Kiafrika zikishinikiza Mataifa mbalimbali kuunga mkono msimamo wa Africa kwenye suala la INDC |
Eng Landslaus Kyaruzi na Tajiel Urioh, wote kutoka Tanzania wakiwa nje ya ukumbi kwa mazungumzo |
Hili ndilo lango la kuingia kwenye eneo la mkutano, Pichani ni Tajiel Urioh kutoka ForumCC |
Mkutano ulifanyika katika eneo linaloitwa SAN BORJA katika jiji la Lima |
Asubuhi baadhi ya Watanzania wakiingia kwenye eneo la mkutano |
Tajiel Urioh akiwa katika moja ya bustani za mji wa San Borja ambazo zimezunguka eneo la mkutano |
Hivi ndiyo Peru inavyoandikwa, Ni utambulisho wa utamaduni wao |
Tajiel Urioh na Bw Richard Muyungi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais |
Fazal Issa na Bw Richard Muyungi kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais |
Banda la Oxfam wakiwa wanaonyesha baadhi ya mazao |
Fazal Issa akiwa na Rais wa COP20 Mh Manuel Pulgar Vidal |